Breaking News

25/2/2015..Nuh Mziwanda apost picha wakiwa watupu na Shilole




 Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby" wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".
Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho.

No comments