Breaking News

BARAKAH ASIPOKUWA MAKINI ATAPOTEA KWENYE GAME,,,,


BARAKAH ASIPOKUWA MAKINI ATAPOTEA KWENYE GAME,,,,                                                                 Barakah the Prince Hawezi kurudi katika  Chati ya muziki kama alivyo kuwa kwa kwa mwanzo kipindi yupo chini ya Meneja kidi boy Maneno hayo yamesemwa na msanii chipkizi wa bongo fleva anaetamba na ngoma yake inayoitwa Vanessa,,,  Bexy wamusic  akizungumza na vyanzo vyetu vya habari alisema kuwa Barakah ni msaniii mzuri lakinii alichokosea nikuhama na dharau alizoonesha kwa aliekuwa .Meneja wake Kid Boy ambae ni mkurugenzi wa Tetemesha rec  huku akiamini kuwa bila kid boy Barakah asingefikia hapo kwa sababu ni msanii ambaee uwezo wake kiutunzi unajulikana  wazi hana uwezo wa kutunga mashairi kama walivyo wasaniii wengine
       Download DJ ABASI.COM Android Application Click HERE

No comments