Breaking News

Behind the scene nyingine ya Video ya RayVanny ‘Natafuta kiki

September 17 2016 mtu wa nguvu nilikuletea  part one ya Video ya ‘natafuta kiki’ kutoka kwa msanii wa WCB Rayvanny, sasa leo nakuletea pia  Part 2, 3 na 4 ya behind the scenes ya video hiyo na kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.
Video hiyo mpya ilitayarishwa na director Travel kutoka Kwetu Studio



No comments