Breaking News

NEWS KUTOKA VIKINDU: Majambazi zaidi ya 10 wakamatwa, wakiwemo askari na Kanali Mstaafu


UPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamekamatwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. 

- Kiongozi wao ni Kanali Mstaafu wa Jeshi.

Zaidi, soma




Imetokea usiku huu Mkuranga. Askari wazingira nyumba ambayo walikuwa wanafanya uchunguzi baada ya mauaji ya polisi Mbande.

Radio WAPO.

========

UPDATES;


> Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.

> Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (difenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

> Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru njia zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

=> Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.









No comments