Breaking News

04 Mar 2015 MAMA AWATOROKA WATOTO WAKE NA KWENDA KUOLEWA UPYA NA MWANAUME MWINGINE



Wedding of Sara Petersen and Brett Carneiro on August 20, 2011 iKwenye Hekaheka ya leo inatokea Dar, inahusu mwanamke ambaye majirani wanasema ameenda kuolewa Zanzibar na kuwaacha watoto wake watatu, kati yao mkubwa ana umri wa miaka 6 na ndiye aliyeachiwa jukumu la kuwaangalia wadogo zake.

Majirani wamesema kitendo alichofanya mwanamke huyo cha kuwatelekeza watoto hao sio kizuri kwani watoto hao hawana hali nzuri na mtoto mdogo mmoja ambaye ana umri wa mwaka mmoja sio nzuri na anaumwa yuko Hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu kutokana na afya yake kudhoofika kwa sababu ya kukosa lishe.

Mtoto huyo wa miaka sita amesema mama yao aliondoka akiwaaga kwamba anakwenda kwa bibi yao lakini.

Bonyeza  hapa chini ili kusikiliza stori yote…  
http://hu.lk/c4z5s41gbta8

No comments