Breaking News

NEWS PICHA: LINEX KAFUNGA NDOA AU NI MATAYARISHO YA VIDEO YAKE MPYA

Wasanii wamenkuwa wakitumia njia mbalimbali katika kupromote nyimbo wanapokaribia kuzitoa, nimekutana na picha hizi katika account ya Instagram ya Msanii Linex Sunday Mjeda ambae anaonekana kama amefunga ndoa.
linex3
linex1
linex2

Moja ya post zake Linex Sunday Mjeda ameandika “Kuna Maamuzi hayaitaji Matangazo.


Je ni kweli Linex  amefunga ndoa au anakuja na video mpya? tusubiri tuone.

No comments