Breaking News

NEWSZ PICHA: DANGOTE AMALIZA BIFU KATI YA OLAMIDE NA DON JAZZY

Wiki iliyopita kulikuwa na sintofahamu kati ya Olamide na Boss wa lebel ya Marvin maarufu kama Don Jazzy, inasemekana kulikuwa na bifu kubwa sana kati yako, Bifu hilo limemalizwa rasmi na Tajiri namba moja Afrika aitwae Dangote.
dumb-jazzy
Dangote aliwaita Olamide na Don Jazzy nyumbani kwake na kumaliza bifu lao ambalo inasemekana lilikuwa linaanza kuota mizizi.
Dangote,Olamide na Don Jazzy katika picha ya pamoja
Dangote,Olamide na Don Jazzy katika picha ya pamoja

No comments